Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watoto milioni 2 huzaliwa wafu kila mwaka-rIPOTI

Watoto milioni 2 huzaliwa wafu kila mwaka-rIPOTI

Pakua

Katika kila sekunde 16 mtoto mmoja huzaliwa mfu, imesema ripoti mpya ya aina yake iliyotolewa na mashirika ya Umoja wa Mataifa na taasisi zake, idadi ambayo ni sawa na watoto milioni 2 kila mwaka. 

Audio Credit
Flora Nducha- John Kibego
Audio Duration
2'32"
Photo Credit
© UNICEF/Loulou d’Aki