Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

08 Oktoba 2020

08 Oktoba 2020

Pakua

Katika kila sekunde 16 mtoto mmoja huzaliwa mfu, imesema ripoti mpya ya aina yake iliyotolewa na mashirika ya Umoja wa Mataifa na taasisi zake.

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO limesema mafuriko yanayoendelea katika majimbo 17 kati ya 18 ya nchini Sudan ni janga juu ya janga na kuichagiza jumuiya ya kimataifa kupeleka msaada wa haraka kunusuru maisha ya maelfu ya watu.

Chanjo dhidi ya surua na polio yaendelea ili kuokoa mstakabali wa watoto Somalia. 

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
12'30"