Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

TANZABATT 7 wamo ndani, mafunzo ya kujikinga COVID-19

TANZABATT 7 wamo ndani, mafunzo ya kujikinga COVID-19

Pakua

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC shughuli za ulinzi wa amani zinazofanywa na walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania wa kikosi cha 7, TANZBATT 7 cha kikosi cha kujibu mashambulizi FIB cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani MONUSCO zinaendelea sambamba na kuelimishana jinsi ya kujikinga na gonjwa la Corona au coronavirus">COVID-19 ambalo bado ni tisho duniani.Luteni  Issa Mwakalambo, Afisa Habari wa TANZBATT 7 amefutilia mafunzo hayo na kutuandalia taarifa hii kutoka Beni jimboni Kivu Kaskazini. 

Audio Credit
Flora Nducha- Issa Mwakalambo
Audio Duration
1'44"
Photo Credit
TANZBATT 7/Ibrahim Mayambua