Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mafuriko yanayoshuhudiwa Sudan yazua changamoto kwa wakazi -FAO

Mafuriko yanayoshuhudiwa Sudan yazua changamoto kwa wakazi -FAO

Pakua

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO limesema mafuriko yanayoendelea katika majimbo 17 kati ya 18 ya nchini Sudan ni janga juu ya janga na kuichagiza jumuiya ya kimataifa kupeleka msaada wa haraka kunusuru maisha ya maelfu ya watu.  

Audio Credit
Flora Nducha- Grace Kaneiya
Audio Duration
2'13"
Photo Credit
UNOCHA