Skip to main content

Neno la Wiki

Neno la Wiki

Neno la wiki hii tunaangazia neno “MWIKU”  na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla kutoka baraza la Kiswahili Tanzania, BAKITA.

Mwiku maana yake ni mabaki ya chakula au makombo.