Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Somalia inaendelea kutoa vitisho dhidi ya vyama wa wafanyakazi:Nyanduga

Somalia inaendelea kutoa vitisho dhidi ya vyama wa wafanyakazi:Nyanduga

Mtaalamu huru wa haki za binadamu kwa ajili ya Somalia Bwana Tom Bahame Nyanduga amesema Somalia inaendelea kutoa vitisho dhidi ya vyama vya wafanyakazi nchini humo hususan chama cha kitaifa cha waandishi wa habari NUSOJ kuhusu haki zao ikiwemo ya kujikusanya na kujieleza..

Amesema licha ya ziara yake nchini humo na kuzungumza na serikali hali hiyo inaendelea..

(NYANDUGA CLIP 1)

Ameongeza Umoja wa Mataifa hautokata tamaa kuihimiza Somalia..

(NYANDUGA CLIP 2)