Skip to main content

Sanaa yaliwaza waathirika wa tetemeko la ardhi Nepal

Sanaa yaliwaza waathirika wa tetemeko la ardhi Nepal

Nchini Nepal baada ya athari za tetemeko la ardhi, usaidizi ukiwemo wa kisaikolojia, kwa kupitia vikundi maalumu vya maonyesho, ambapo sanaa ya maigizo na uchekeshaji vinatumika kuwaliwaza raia hususan watoto.

Joseph Msami amekuandalia makala hii, ungana naye.