Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Haki za binadamu za watoto wachanga Tanzania zaangaziwa

Haki za binadamu za watoto wachanga Tanzania zaangaziwa

Nchini Tanzania mkutano uliofanyika kuhusu haki za binadamu za watoto wasiozaliwa, waliozaliwa na wale wenye umri wa chini ya miaka mitano umehitimishwa kwa mapendekezo kadhaa ikiwemo kushauri serikali kuweka bajeti ya kutosha kuhakikisha haki zao zinazingatiwa.

Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez ameiambia Idhaa hii kuwa haki hizo ikiwemo mama mjamzito kupata huduma za msingi za matibabu na kliniki wakati wa ujauzito na hata baada ya kujifungua ni muhimu kwa kuwa..

(Sauti ya Alvaro)

Naye Dkt. Mary Azayo Mratibu wa taifa wa aya ya mtoto nchini Tanzania anataja changamoto za kusimamia haki hizo.

(Sauti ya Dkt. Azayo)