Skip to main content

Ukosefu wa mbegu waleta hofu Uganda, serikali yachukua hatua

Ukosefu wa mbegu waleta hofu Uganda, serikali yachukua hatua

Uhaba wa mbegu za mazao nchini Uganda unazua hofu ya usalama endelevu wa chakula jambo ambalo linaloisukuma serikali ya nchi ya Afrika Mashariki kuchukua hatua kadhaa.

Ni zipi na ni namna gani , basi ungana na John Kibego kutoka Uganda .