Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake timizeni wajibu wenu: Mdee

Wanawake timizeni wajibu wenu: Mdee

Ustawi wa wanawake unategemea zaidi utekelezaji mzuri wa majukumu ya wanawake katika nafasi walizonazo amesema mwakilishi wa bunge la Tanzania Halima Mdee katika vikao vya mkutano wa 59 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake unaoendelea jijini New York.

Katika mahojiano maalum na idhaa hii Bi Mdee aliye moja ya wabunge chipukizi amesema changamoto zianazowakabili wanawake ni nyingi lakini.

(SAUTI MDEE)

Kadhalika anatoa ushauri nini kifanyike Tanzania ili kuinua zaidi wanawake..

(SAUTI MDEE)