Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mapambano dhidi ya ukeketaji yanahitaji mshikamano: Ban

Mapambano dhidi ya ukeketaji yanahitaji mshikamano: Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki-moon amesema inawezekana kukomesha ukeketaji ikiwa jamii nzima itahamasishwa  katika mapambano hayo ambapo kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF zaidi ya wanawake milioni 100 kote duniani huathiriwa. Taarifa kamili na Grace Kaneiya.

(TAARIFA GRACE)

Katika ujumbe wake kwa njia ya video Ban amesema wataalamu wa afya wana jukumu kubwa katika kuhakikisha ukomeshwaji wa aina hii ya ukatili.Maadhimisho ya mwaka huu yanaangazia zaidi ukeketaji unaofanywa na wahudumu wa afya na hivyo kuchochea vitendo hivyo.

(SAUTI BAN

Kwa upande wake Chrstine Mwanukuzi Kwayu ambaye ni mkuu wa masuala ya jinsia katika shirika la Umoja wa Mataifa  la idadi ya watu UNFPA nchini Tanzania  anaeleza changamoto katika harakati dhidi ya ukeketaji.

(SAUTI CHIRSTINA)