Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNFPA yakamilisha kambi ya mafunzo dhidi ya ukeketaji, ndoa za utotoni na tohara asilia

UNFPA yakamilisha kambi ya mafunzo dhidi ya ukeketaji, ndoa za utotoni na tohara asilia

Kambi dhidi ya ndoa za utotoni, ukeketaji na tohara za njia za asili  iliyoendeshwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu UNFPA mkoani Mara nchini Tanzania imekamilika kwa wahitimu kufanyiwa mahafali.

Mkoa wa Mara ni miongoni mwa maeneo ambayo vitendo hivyo hufanyika kwa wingi ambapo kampeni hiyo imehusisha viongozi wa dini na kimila.

Erinest Kamugisha ni miongoni mwa viongozi wa dini waliotoa mafunzo hayo

(Sauti ya Kamugisha)