Juhudi za Uganda kupambana na malaria zamulikwa
Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya kimataifa ya malaria April 25 bado tiba na kinga kwa ugonjwa huo ni changamoto kubwa hususani nchi zinazoendelea. Hali ikoje Afrika Mashariki?
Ungana na John Kibego wa radio washirika Spice Fm ya Hoima nchini Uganda katika makala ifuatayo