Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Athari za Zebaki zaangaziwa

Athari za Zebaki zaangaziwa

Wiki hii Umoja wa Mataifa umeendesha mafunzo kuhusu sheria za kimataifa na athari zake ambapo suala la madhara ya matumizi ya zebaki limeangaziwa.

Joseph Msami amefanya mahojiano na mmoja wa washiriki wa semina hiyo kutoka nchini Tanzania Sarah Reuben ambaye anaeleza kile kiilichojiri hususani namna nchi wanachama zinavyoweza kutekeleza makubaliano ya uokozi wa madhara ya zebaki.