Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nishati ya samadi ya wanayama yabadili maisha ya wanavijiji Nepal

Nishati ya samadi ya wanayama yabadili maisha ya wanavijiji Nepal

Matumizi ya nishati ya kupikia inayotunza na kuhifadhi mazingira imeleta mwanga kwa jamii nchini Nepal hususani maeneo ya vijijini.

Dunia inapoelekeza macho na masikio huko Paris Ufaransa kwa kunakofanyika mkutano kuhusu mabadiliko ya tabia nchi, matumizi ya nishati kama hii ni mfano katika kuepuka hewa chafuzi. Unagan na Joseph Msami katiak makala ifuatayo.