Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Licha ya mapigano, wanafunzi wafanya mitihani Sudani Kusini!

Licha ya mapigano, wanafunzi wafanya mitihani Sudani Kusini!

Si rahisi kufikiria kwamba katikati ya mizozo watu wanaweza kupata elimu! Lakini hilo limetokea huko Sudani Kusini ambapo licha ya mapigano ya kikabila yanayoendelea nchini humo, wanafunzi wa shule ya msingi wanafanya mitihani ya kuhitimisha elimu ya msingi.

Lakini mtihani huo unafanyika tofauti na walivyozoea, chini ya ulinzi mkali wa polisi. Ungana na Joseph Msami katika ripoti inayoafafanua zaidi.