Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tutaimarisha mafunzo kwa jeshi na polisi Somalia : Kamanda Amisom

Tutaimarisha mafunzo kwa jeshi na polisi Somalia : Kamanda Amisom

Baada ya kuanza rasmi shughuli zake akiwa kamanda Mkuu wa vikosi vya Afriak nchini Somalia (Amisom), Luteni Ginerali Silas Ntigurirwa ametangaza mipango yake mipya ya kustaawisha taifa la Somalia, ikiwa ni pamoja na kuongoza vikosi vya Amisom na kutafuta vifaa zaidi. Amesema mipango hiyo inachagizwa na dhamira ya kuandaa uchaguzi mkuu mwaka 2016 huku akibainisha kwamba mafunzo maalum kwa jeshi na askari wa Somalia yataendelezwa katika kuhakikisha vikosi hivyo vinadhibiti usalama.

Katika mahojiano maalum na mwandishi wetu wa maziwa makuu Ramadhani Kibuga muda mufupi baada ya kuwasili ofisini, Ganeral Ntigurirwa anaanza kwa kuelezea ombi lake kwa Umoja wa Mataifa na muunganao wa Afrika

(Sauti Kamanda Ntigurirwa)