Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Sera za nchi ziangazie vijana kwa maslahi yao na nchi zao: Balozi wa vijana

Sera za nchi ziangazie vijana kwa maslahi yao na nchi zao: Balozi wa vijana

Balozi wa Vijana katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa upande wa Tanzania Raymond Maro katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa amesema upungufu wa sera mkakati kwa nchi zinazoendelea ndio unaosababisha vijana wengi kuhama na kutaka sera hizo ziwape fursa ya kunufaisha nchi zao.

 (SAUTI RAYMOND)