Jumuiya ya Madola kusongesha maendeleo ya wanawake: Dkt. Ojiambo
Kituo cha biashara cha kimataifa kilicho chini ya kamati ya biashara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa, UNCTAD kiliandaa mikutano kadhaa kando mwa mjadala wa wazi wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, #UNGA72 uliofikia tamati siku ya Jumatatu.