Tumesikitishwa na kushtushwa na shambulio dhidhi ya walinda amani wetu- Mahiga
Tarehe 7 disemba mwaka 2017, walinda amani wa Tanzania walishambuliwa huko Semuliki, jimbo la Kivu Kaskazini nchin Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo. Hali hii ilizua simanzi kubwa.