Kuendeleza huduma za msingi Sudan Kusini ni muhimu katika mapambano ya COVID-19:UNICEF
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, limesema muendelezo wa huduma za msingi zikiwemo chanjo kwa watoto Sudan Kusini ni muhimu sana katika vita dhidi ya janga la corona au COVID-19 na maradhi mengine.