Chonde chonde tushikamane kusaka suluhu ya wakimbizi wa ndani:Guterres
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kushikamana katika kukabiliana na changamoto ya wakimbizi wa ndani wakati akifungua mkutano wa jopo jipya la ngazi ya juu kuhusu wakimbizi wa ndani mjini Geneva Uswis.