Dau la plastiki ladhihirisha #BahariSalama yawezekana
Baada ya siku 14 za kupasua mawimbi kwenye bahari ya Hindi kutoka Kenya hadi Tanzania, hatimaye dau lililotengenezwa kwa taka za plastiki lilitia nanga Mji Mkongwe huko kisiwani Unguja, Zanzibar Tanzania tarehe 7 mwezi Februari kwa mafanikio makubwa.