27 Juni 2019
Pakua
Miongoni mwa habari anazokuletea hii leo arnold Kayanda katika Jarida laletu ni pamoja na
-Halahala yatolewa na shirika la afya ulimwenguni watu kupata chanjo ya surua kabla ya kwenda nchi zenye mlipuko wa ugonjwa huo
-Nchini Mali tunamulika masuala ya ukwepaji sheria dhidi ya wanaoshambulia raia , uchunguzi ukifanyika chini ya mpango wa umoja wa Mataifa MINUSMA
-Madhila anayosimulia mkimbizi toka Yemeni kuwa kila anakokimbilia na wanawe, ni kaburi tu
- Makala yetu leo inatupeleka Uganda ambako chepuo yapigwa kutika mazingira ili kuepuka maafa ya mifugo
-Na mashinani tunabisha hodi Rwanda kumulika huduma za kuwasaidia wasichana shuleni wakati wa hedhi
Audio Credit
UN News Arnold/Kayanda
Audio Duration
12'43"