Rwanda

Roboti janja zatumika Rwanda kukabili COVID-19

Mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19, mapema mwaka huu umeibua changamoto kubwa kwa dunia kutokana na virusi hivyo kuathiri mamilioni ya watu ikiwemo barani Afrika.

Sauti -
3'52"

08 JULAI 2020

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
12'23"

24 JUNI 2020

Katika Jarida la Umoja wa Matafa hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
12'43"

Mtuhumiwa kinara wa mauaji ya kimbari Rwanda anaswa Ufaransa, UN yapongeza

Hatimaye mtuhumiwa kinara wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda Félicien Kabuga amekamatwa hii leo mjini Paris nchini Ufaransa.
 

MINUSCA yapata msaada wa mashine ya kupima COVID-19 kutoka Rwanda

Kikosi cha Rwanda kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR,

Sauti -
1'59"

Rwanda yapatia MINUSCA mashine ya kupima COVID-19

Kikosi cha Rwanda kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, MINUSCA kimepatia maabara ya kitaifa ya kibayologia nchini humo mashine yenye thamani ya dola 200,000 kwa ajili ya kupima ugonjwa virusi vya Corona au COVID-19. 

Guterres ametoa wito kwa ulimwengu mzima kujifunza kwa nchi ya Rwanda na watu wake

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa ulimwengu mzima kujifunza kwa nchi ya Rwanda na watu wake kwa namna walivyomudu kuponya majeraha ya athari mbaya za maujai ya kimbari dhidi ya watutsi , Grace Kaneiya na maelezo zaidi

Sauti -
1'43"

Tangu mauaji ya kimbari, Rwanda imeonesha kuwa inawezekana kunyanyuka kutoka katika majivu-Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa ulimwengu mzima kujifunza kwa nchi ya Rwanda na watu wake kwa namna walivyomudu kuponya majeraha ya athari mbaya za mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi.

Ni muhimu wanawake wawakilishwe uongozini ili watatue changamoto zinazowakabili- Bi Emma Rubagumya

Usawa wa kijinsia ni moja ya lengo la malengo ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa ambaye yanafikia ukomo wake mwaka 2030 na nchi wanachama wanahaha kuyafanikisha kabla ya muda huo.

Sauti -
3'53"

Baada ya madhila Libya, mkimbizi kutoka Sudan apata kimbilio Rwanda

Takriban wakimbizi 2,500 na wasaka hifadhi wanashikiliwa katika vizuizi nchini Libya kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -
2'22"