afya

Majimbo Brazil yaibuka na mbinu bunifu ili kila kaya iwe na mfumo wa majitaka 

Nchini Brazil majimbo ya Espirito Santo na Sao Paulo yanaendesha kampeni mahsusi kuhakikisha kuwa kila nyumba inakuwa imeunganishwa na mfumo wa majitaka ili kaya hizo ziweze kunufaika na matumizi ya mifumo ya aina hiyo ambayo ni pamoja na kuepusha magonjwa.

04 Novemba 2020

Jaridani na Habari ikilitwa kwako na Flora Nducha

Sauti -
12'50"

Lengo la kudhibiti kifua kikuu(TB) hatarini kutotimia:WHO Ripoti

Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO imeonya kwamba endapo uwekezaji na hatua za haraka hazitochukuliwa malengo ya kuzuia na kutibu kifua kikuu au TB huenda yasitimie mwaka 2022.

13 OKTOBA 2020

Katika jarida la habari la Umoja wa Mataifa  hii leo, Flora Nducha anakuletea

Sauti -
11'42"

Kama wazalishaji wakubwa wa chanjo tutahakikisha ya COVID-19 inamfikia kila mtu:India 

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi Jumamosi Septemba 26 ameihakikishia jumuiya ya kimataifa kwamba nchi yake ikiwa ni miongoni mwa wazlishaji wakubwa wa chanjo duniani, uwezo wake wa kuzalisha na kusambaza chanjo utatumika ili kusaidia binadamu wote kupambana na janga la corona au COVID-19. 

Afrika, hatua tulizochukua dhidi ya COVID-19 zimedhihirishia ulimwengu uthabiti wetu.

Fikra za baadhi ya watu kuwa maelfu kwa maelfu ya watu barani Afrika watapukutika kutokana na janga la ugonjwa wa Corona, au COVID-19 zimekuwa ndivyo sivyo baada ya bara hilo kuchukua hatua ki

Sauti -
6'4"

10 SEPTEMBA 2020

Katika Jarida la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea 

Sauti -
12'56"

Wanawake wakiwa na uwezo wa kufanya maamuzi ni ushindi kwa kila mtu:Guterres 

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres leo amefanya mkutano wa kimataifa na mamia ya wawakilishi kutoka asasi za kiraia kumulika suala la wanawqake baada ya mkutano wa kila mwaka kuhusu hali ya wanawake duniani ambao hufanyika mwezi Machi kufutwa mwaka huu kwa sababu ya janga la corona au COVID-19. 

Togo imekuwa nchi ya kwanza Afrika kutokomeza ugonjwa wa malale:WHO

Taarifa iliyotolewa leo na shirika la afaya la Umoja wa Mataifa WHO imesema Togo imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika kutokomeza ugonjwa wa malale ambao umekuwa tatizo la afya ya umma kwa miaka mingi barani humo. 

COVID-19 bado ipo na athari zake zitakuwa za miongo:WHO 

Kamati ya dharura ya shirika la afya duniani WHO ya kupambana na janga la corona au COVID-19 imekutana mjini Geneva Uswis katika kikao maalum kilichoitishwa na mkurugenzi mkuu wa shirika hilo Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus.