Mazingira

COVID-19 na athari zake kwa mazingira hasa maeneo ya mbugani 

Nchini Tanzania harakati za utalii tena siyo tu wa raia wa ndani, bali pia wageni kutoka nje ya nchi, zilirejea mwezi Juni mwaka huu baada ya kusitishwa kwa muda kutokana na janga la ugonjwa wa Corona au

Sauti -
3'36"

Wakati ni sasa kuchukua hatua kukomesha uchafuzi wa hewa:Guterres

Watu 9 kati ya 10 wanavuta hewa chafu, ni wakati wakubadili hilo sasa Guterres 

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema huu ni wakati wa kushikamana na kuchukua hatua 

Sauti -
2'27"

07 SEPTEMBA 2020

Katika Jarida la Habnari la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea

-Katika maadhimisho ya kwanza kabisa ya siku ya kimataifa ya hewa safi kwa ajili ya anga ya rangi ya blu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka mshikamano kutokomeza uchafuzi wa hewa

Sauti -
12'51"

Watu 9 kati ya 10 wanavuta hewa chafu, ni wakati wa kubadili hilo sasa:Guterres 

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema huu ni wakati wa kushikamana na kuchukua hatua zinazohitajika dhidi ya hewa chafu inayovutwa na watu 9 kati ya 10 kila uchao duniani kote.

COVID-19 imeongeza chumvi katika kidonda changu cha athari za mabadiliko ya tabianchi-Jemima Hosea 

Kutokana na mwamko wa watu nchini Tanzania kuyapenda mazingira ya nyumba zao, Jemima Hosea wa jijini Dar es Salaam, aliona hiyo ni fursa ya yeye kujipatia kipato kwa kuotesha na kuuza maua ya aina mbalimbali.

Sauti -
2'49"

Uhusiano kati ya biashara yetu na mazingira ni wa ajabu sana-Wauza miche ya miti Tanzania

Biashara ya uuzaji wa miche ya miti nchini Tanzania hususani katika jiji la Dar es Salaam ni ya miaka mingi. Wauzaji wanasema ingawa uhusiano kati ya miti na mazingira ni  wa wazi mno, lakini kwao uhusiano huu ni wa ajabu.

Sauti -
3'30"

29 JUNI 2020

Katika Jarida la habari za UN hii leo flora nducha anakuletea

Sauti -
12'7"

COVID-19 isitufanye tukayasahau mazingira-Clara Makenya

Tangu mlipuko wa virusi vya corona ulipoanza kusambaa duniani kote, vipaumbele vya nchi nyingi vimebadilika.

Sauti -
3'54"

Nishati ya Ethanol itakuwa mbadala wa mkaa-UNIDO Tanzania

Nishati ya ‘Ethanol’ inayotokana na masalia ya vitu mbalimbali kwa mfano mazao kama miwa, mahindi, viazi na hata ngano ni moja ya suluhisho linaloonekana kuwa mjarabu kwa uharibifu wa mazingira unaosababishwa na matumizi ya nishati kama mkaa.

Sauti -
3'43"

Vichocheo vya mafuriko na atahri zake vyamulikwa nchini Uganda

Juu ya janga la kimataifa la COVID-19, nchi kadhaa Africa Mashariki na Pembe mwa Africa zinakumbana na janga la mafuriko ambalo tayari limewalazimisha wengi kupoteza makazi na hata maisha yao.

Sauti -
3'25"