Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jarida la Habari

01 JUNI 2021

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Leah Mushi anakuletea

-Ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini Burundi leo imefunga mlango rasmi baada ya hali ya amani na utulivu kurejea nchini humo utasiki taarifa  kutoka kwa washirika wetu Mashariki TV

-Baraza kuu la afya duniani limekunja jamvi likionya kwamba wakati afya iko hatarini basi kila kitu kipo hatarini kinachohitajika ni kuchukua hatua madhubuti kuepusha zahma.

Sauti
13'39"