Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

01 JUNI 2021

01 JUNI 2021

Pakua

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Leah Mushi anakuletea

-Ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini Burundi leo imefunga mlango rasmi baada ya hali ya amani na utulivu kurejea nchini humo utasiki taarifa  kutoka kwa washirika wetu Mashariki TV

-Baraza kuu la afya duniani limekunja jamvi likionya kwamba wakati afya iko hatarini basi kila kitu kipo hatarini kinachohitajika ni kuchukua hatua madhubuti kuepusha zahma.

-Nchini Uganda shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limerejesha matumaini ya maisha kwa watoto yatima walioachwa wadogo na baba kuwakimbia baada ya mama yako kufariki dunia kwa ukimwi nchini Uganda

-Makala yetu leo inatupeleka Kenya kwa mjasiriliamali anayekopesha wakulima wadogowadogo majokofu yanayotumia nishati ya jua

-Na mashinani tutakuwa Tanzania kwa binti anayepaza sauti kuhusu masuala ya hedhi, akizungumzia alivyohisi wakati alipopata hedhi kwa mara ya kwanza.

Audio Credit
UN News/Leah Mushi
Sauti
13'39"