UM watupilia mbali kesi ya Georgia mahakama ya ICJ
Mahakama hiyo ya ICJ iliyo Hague inasema kuwa haitashughulikia kesi hiyo kwa kuwa majadiliano ya kutafuta suluhu hayakuwa yamefanyika kati ya pande husika.
Mahakama hiyo ya ICJ iliyo Hague inasema kuwa haitashughulikia kesi hiyo kwa kuwa majadiliano ya kutafuta suluhu hayakuwa yamefanyika kati ya pande husika.
Ripoti hiyo iitwayo "uniting for universal access" inasisitiza uvumilivu sufuri dhidi ya maambukizi ya HIV, ubaguzi na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo.
Mahiga amesema taifa hilo ambalo linaghbikwa na vita kwa miongo miwili sasa linahitaji kuzingatia mkataba wa amani wa Djibouti, kukamilisha kipindi cha mpito na kuchagua serikali mpya hapo mwezi Agosti mwaka huu.
Jamii ya Toposa huvuka na kuingia nchini Kenya ikitafuta malisho huku ile ya Turkana ikivuka na kuingia Sudan kutafuta maji. Japhet Kasimbu ni msemaji wa IOM.
(SAUTI YA JAPHET KASIMBU)
Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa aliyezuru nchi hiyo hivi karibuni Samshul Bari amesema hali ya ukame na machafuko ya vita baiana ya vikosi vya serikali ya mpito na kundi la wanamgambo wa Al-Shabaab ynawaweka wakimbizi wa ndani na raia wa nchi hiyo katika njia panda.
Opreresheni hii ni ya awamu ya nne baada ya zile zilizoanza katikati ya mwaka jana katika mistu iliyoko chini yam lima Ruwenzori upande wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo jimbo la Kivu ya Kaskazini.
Akiwa nchini humo amekutana na Rais Sheikh Sharifu Ahmed na waziri mkuu wa nchi hiyo.