Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

©UNICEF/Ekwam

Kisima cha maji kinatumia nishati ya jua katika shule ya Msingi ya Daley, Garissa nchini Kenya.

Msaada wa kisima cha maji uliofanikishwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF katika shule ya Msingi ya Daley kwenye Kijiji cha Daley, Kaunti ya Garissa nchini Kenya, umesaidia sana jamii hasa katika suala la elimu katika eneo hilo la nchi ambayo imekosa mvua ya kutosha kwa m

Sauti
3'14"
© UN Photo/Patric Pavel

Ubaguzi dhidi ya watoto kwa misingi ya makabila, lugha na dini zao umeenea duniani kote: UNICEF

Ubaguzi wa rangi na ubaguzi mwingine dhidi ya watoto kwa misingi ya makabila, lugha na dini zao umeenea duniani kote na kuleta athari kwenye mfumo wa haki, usawa na hata uwezo wa kujua kusoma, hayo yapo kwenye ripoti iliyotolewa leo na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF.

Sauti
2'32"

18 NOVEMBA 2022

Hii leo jarida linaangazia ripoti iliyotolewa leo na UNICEF kuhusu ubaguzi wa rangi na ubaguzi dhidi ya watoto na pia habari kutoka Garissa, Kenya, makala ya maandamanano ya wanaharakati huko Sharm-el-Sheikh nchini Misri kwenye mkutano wa 27 wa nchi wanachama wa Mkataba wa mabadiliko ya tabianchi

Sauti
12'15"