Wazazi wana wajibu wa kuzungumza wazi na watoto kuhusu ubaguzi:UNICEF
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linasema mazungumzo na watoto kuhusu tatizo la ubaguzi na ubaguzi wa rangi si suala rahisi lakini ni ya lazima na ni jukumu la wazazi na walezi. Jason Nyakundi