Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

24 Agosti 2020

24 Agosti 2020

Pakua

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Flora Nducha

-Wakulima wa Turkana wasema  Kama nzige hawa hawataisha na mvua ikanyesha japo kiasi, mifugo yetu itakufa.
wa Mataifa lipitishe azimio la kutambua siku hii mwaka 2018

-Mbio za Selous zachagiza uhifadhi wa mazingira na utalii endelevu Tanzania.

-Kutana na mtaalam wa huduma za kijamii za watoto nchini Cambodia Tim Sreyoun ambaye anasema licha ya janga la corona au COVID-19 ni wajibu wake kuhakikisha watoto wanahudumiwa na kulindwa dhidi ya ukatili kwani ni zahma aliyoipitia maishani mwake.

-Na kwenye makala leo tutaelekea mkoani Morogoro Tanzania kusikia wahudumu wa afya na wanufaika wa mafunzo ya lishe endelevu yanayotolewa na shirika la Save the Children.

-Na kwenye mashinani leo tutakwenda nchini Rwanda kuangazia jinsi   Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF linavyounga mkono bodi ya elimu ya Rwanda  kutoa masomo ya redio na televisheni, na pia masoma kwa njia ya mtandao Karibu!

 

 

 

 

 

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
13'20"