FAO yanusuru wakulima Zambia
Nchini Zambia mradi wa kuwawezesha wakulima na wafugaji kupata taarifa sahihi kuhusu hali ya hewa, umewajengea upya imani baada ya mabadiliko ya tabianchi kuleta misukosuko katika shughuli zao za kilimo na ufugaji. Taarifa zaidi na Anold Kayanda.