Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNIDO yasema maendeleo jumuishi na endelevu ya viwanda Afrika ndio dawa ya SDG's

UNIDO yasema maendeleo jumuishi na endelevu ya viwanda Afrika ndio dawa ya SDG's

Pakua

Maendeleo jumuishi na endelevu ya viwanda ni kichocheo cha kufikia ajenda ya maendeleo ya mwaka 2030 kwa bara la Afrika, umesema Umoja wa Mataifa.  

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
3'26"
Photo Credit
UNIDO/Twitter