Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Utekelezaji wa ibara 13 Kenya ni mzuri licha ya changamoto

Utekelezaji wa ibara 13 Kenya ni mzuri licha ya changamoto

Pakua

Ibara ya 13 ya tamko la haki za binadamula Umoja wa Mataifa ambalo linatimiza miaka sabini mwaka huu inasema, kila mtu ana haki ya uhuru wa kutembea na kuishi ndani ya mipaka ya nchi yake - Na kila mtu ana haki ya kuondoka na kurudi nchini mwake. 

Nchini Kenya haki hii ipo kwenye katiba ambapo Robi Chacha, Afisa kampeni usalama na haki za bindamu katika shirika lisilo la kiserikali la Amnesty International, nchini humo anasema utekelezaji wake unaridhisha.

Audio Credit
Siraj Kalyango/Grace Kaneiya/Robi Chacha
Audio Duration
3'37"
Photo Credit
Mtazamo wa mji wa Nairobi maeneo ya chini ya mji mkuu.(Picha:Julius Mwelu/UN-Habitat)