Mkaa unaleta kipato Tanzania lakini hatua zichukuliwe- UNDP

Mkaa unaleta kipato Tanzania lakini hatua zichukuliwe- UNDP

Umoja wa Mataifa nchini Tanzania umesema ingawa mkaa unaripotiwa kupatia nchi hiyo dola bilioni moja kwa mwaka, hatua ni lazima zichukuliwe ili kulinda mazingira yanayoharibiwa na ukataji miti.

Mratibu wa masuala ya mazingira kwenye shirika la mpango wa maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP nchini Tanzania Clara Makenya, amesema hayo akihojiwa na Stella Vuzo wa kituo cha habari cha Umoja huo bada ya ziara ya mkuu wa shirika la mazingira duniani, UNEP Erick Solheim.

Amesema walibaini kuwa ingawa bidhaa hiyo ina mapato..

(Sauti ya Clara-1)

Na kuhusu kampeni ya kulinda misitu amesema..

(sauti ya Clara-2)