Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Zaidi ya miaka miwili watoto wa Mosul hawajaenda shule - UNICEF

Zaidi ya miaka miwili watoto wa Mosul hawajaenda shule - UNICEF

Ni zaidi ya miaka miwili watoto huko Mosul nchini Iraq hawajaenda shuleni, amesema Naibu Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF nchini humo Hamida Lasseko. Rosemary Musumba na taarifa kamili.

( TAARIFA YA ROSEMARY)

Akihojiwa na Radio ya Umoja wa Mataifa Bi. Lasseko amesema kile wanachofanya sasa wanashirikiana na serikali ya Iraq kujitahidi ili kuwawezesha kurejea shuleni akisema kuwa...

(Sauti ya Hamida-1)

Bi. Lasseko amesema wana matumaini kuwa mwaka wa 2017 utakuwa bora kwa kuwa..

(Sauti ya Hamida-2)