Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Dunia itazame upya mfumo wa uchumi: Tanzania

Dunia itazame upya mfumo wa uchumi: Tanzania

Leo ikiwa ni siku ya mwisho ya hotuba za nchi katika mjadala wa ngazi ya juu wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa, Tanzania inawakilishwa na waziri wake wa mambo ya nje Balozi Augustine Mahiga.

Awali katika mahojiano na idhaa hii, balozi Mahiga amesema uchumi wa dunia ndiyo kipaumbele cha taifa lake na kutoa wito kwa jumuiya ya kimataifa.

(SAUTI MAHIGA)

Kuhusu suala la uhifadhi wa wakimbizi Balozi Mahiga amesema Tanzania inahitaji usaidizi.

( SAUTI MAHIGA)