Skip to main content

Neno la Wiki-Mkabala

Neno la Wiki-Mkabala

Wiki hii tunaangazia neno “MKABALA”  na mchambuzi wetu ni ONNI SIGALLA Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania.