Skip to main content

Kutokomeza umaskini ni lazima kuwe na uwanja sawa wa kufanya biashara:UNCTAD

Kutokomeza umaskini ni lazima kuwe na uwanja sawa wa kufanya biashara:UNCTAD

Wakati nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa zimepitisha ajenda ya malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, Katibu Mkuu wa Kamati ya Biashara na Maendeleo ya Umoja wa Mataifa, UNCTAD Mukhisa Kituyi amesema biashara na uwekezaji katika miundo msingi ni muhimu katika kufanikisha malengo hayo .

Akizungumza na Idhaa ya Kiswahili jijini New York Bwana Kituyi amesema kwamba historia imeonyesha kwamba..

(Sauti ya Kituyi)

Halikadhalika akasema UNCTAD imekuwa ikihimiza mataifa kubadilisha sheria zinazosimamia uwekezaji kwa sababu

(Sauti ya Kituyi)