Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Sheria za uwekezaji zinapaswa kuwezesha mataifa yanayoendelea kushindana kibiashara:UNCTAD

Sheria za uwekezaji zinapaswa kuwezesha mataifa yanayoendelea kushindana kibiashara:UNCTAD

Miundo msingi iliyoboreshwa ni muhimu katika kupunguza gharama  za uzalishaji ili kukuza kipato cha jamii na taifa kwa ujumla. Amesema Katibu Mkuu wa kamati ya bishara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa UNCTAD,  Mukhisa Kituyi.

Katika mahojiano maalum na Grace Kaneiya wa idhaa ya Kiswahili ya redio ya Umoja wa Mataifa, kuhusu mchango wa UNCTAD katika  utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu au ajenda 2030, Bwana Kituyi anaanza kwa kusema.

(SAUTI MAHOJIANO)