Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wananchi Jamhuri ya Afrika ya Kati wachukua hatua kuleta amani

Vijana bila kujali imani zao za kidini wakisafisha eneo lao mjini Bangui kupitia mpango wa IOM. (Picha-MINUSCA)

Wananchi Jamhuri ya Afrika ya Kati wachukua hatua kuleta amani

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati mapigano kati ya wakristu na waislamu yanaendelea katika maeneo mbali mbali ya nchi huyo hususan mji mkuu wa Bangui na viungani. Umoja wa Mataifa umechukua hatua kuhakikisha amani imerejea na ulinzi unaimarishwa hasa kwa kuunda kikosi cha kulinda amani kitakachoanza kazi mwezi Septemba mwaka huu. Wananchi nao wameona wasisubiri hivyo nao wameanza mashauriano baina yao ili kuleta utengamano. Je wanafanya nini? Basi ungana nami Assumpta Massoi katika makala haya.