Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi nchini Uganda wanufaika na kampeni dhidi ya ukatili wa kijinsia

Wakimbizi nchini Uganda wanufaika na kampeni dhidi ya ukatili wa kijinsia

Wakati siku kumi na sita za kimataifa za kupinga ukatili wa kijinsia zikikamilika wakimbizi walioko katika kambi ya Kyangwali nchini Uganda wameshuhuduia tamati ya siku hizo kwa sherehe maalum.

John Kibego wa radio washirika Spice Fm nchini humo amehudhuruia sherehe hizo na kutuandalia makala ifuatayao.

(MAKALA YA KIBEGO)