Adha za mapigano zaendelea kuwatesa raia Jamhuri ya Afrika ya Kati
Taarifa kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati zinaeleza kutoimarika kwa utulivu nchini humo ambapo hivi karibuni mapigano hayo yaliiubuka tena na kuzua hofu na mtafaruku kwa raia wa nchi hiyo ambao wamejikuta wakipoteza makazi.
Ungana na Joseph Msami katika mkala ifuatayo inayoangazia adha wanazokumbana nazo wakimbizi wa ndani nchini humo.