Nuru yaanza kuwaangazia watoto kusini mwa Madagascar
Msaada uliotolewa na mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa kwa ushirikiano na serikali ya Norway umewezesha watoto katika maeneo ya kusini mwa Madagascar kuweza kupata elimu katika mazingira yenye staha.