Kazi ya ulinzi wa amani ni ya kila mtu la msingi ni kuwa tayari: Mrakibu Mlay
Ulinzi wa amani si chaguo ni wajibu ambao kila mtu katika jamii anapaswa kuuvaa, kwani bila amani jamii husambatarika. Nani katoa kauli hiyo tuungane na Jason Nyakundi anatupasha zaidi