Ukosefu wa maji unaua watoto wengi kuliko hata mabomu- UNICEF
Ukosefu wa maji safi na salama unaweza kuua watoto walio na umri wa chini ya miaka 5 mara 20 zaidi kuliko mabomu na risasi katika maeneo ya kivita.
Ukosefu wa maji safi na salama unaweza kuua watoto walio na umri wa chini ya miaka 5 mara 20 zaidi kuliko mabomu na risasi katika maeneo ya kivita.
Idadi ya watu waliokufa kutokana na mlipuko wa volkano katika mlima Nyiragongo jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC imeongezeka na kufikia wawtu 32 huku Umoja wa Mataifa ukiongeza jitihada za kufikisha misaada.