Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chuja:

Makala Maalum

Zimbabwe: Rebecca mama wa watoto watano. Picha: WFP / Claire Nevill
WFP/Claire Nevill

Wanawake na wasichana na janga la COVID-19

COVID-19 imeongeza ukosefu wa usawa katika kila sehemu ya jamii, na hivyo kuongeza hatari ya makundi yaliyo hatarini, pamoja na wanawake na wasichana. Janga hili linaongeza hatari ya unyanyasaji wa kinjisia (GBV), inarudisha nyuma maendeleo ya kijamii na ya kiuchumi ya wanawake na wasichana na kutishia afya ya uzazi.