Mkuu wa UNMEER azuru manusura wa Ebola
Pakua
Mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa mapambano dhidi ya Ebola UNMEER, Anthony Banbury ametembelea manusura wa homa ya Ebola nchini Sierra Leone.
Pia ametumia fursa ya ziara hiyo kutembelea makaburi ya watu waliokufa kufuatia ugonjwa huo hatari unaoshamiri Afrika Magharibi.
Ungana na Joseph Msami katika Makala inayomulika ziara hiyo.